FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Muda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani

Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya muda mrefu, hatimaye leo wameanza.

simbasctanzania-20230205-0001.jpg

Kasoro General Phiri ndio sijamuona hapo
 
Muda wa mechi ni saa 16:00 na tayari vikosi vyote vimefika uwanjani

Upande wa Simba wale wachezaji waliokosekana mechi za nyuma kwasababu ya kukosa fitness iliyosababishwa na kuuguza majeraha ya muda mrefu, hatimaye leo wameanza.

View attachment 2507320

Kasoro General Phiri ndio sijamuona hapo
Al hilal nguvu moya.
 
huyu mwanuke ambaye ana mgogoro na mapombe
Bora hii statement ungeitumia katika mtindo wa swali.

Ni lini ulisikia Bwana mdogo Mwanuke ana ugomvi na Kapombe?

Huna taarifa kamili, uliza.
Kama unataarifa kamili, Report.

I hate to be rude... au hata taarifa pia unaokota okota kama matunda? Muokota Matunda. Asking for a friend😂
 
Sometimes inabidi tuwazoee tu ila ukikisa uvumilivu ndio inabidi uwajibi hivi
 
Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
 
00' Naaam mpira umeanza Uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba SC 0-0 Al Hilal
 
Back
Top Bottom