FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Okrah anawekwa chini eneo Karibu na box

Inapigwa kulee free kick lakini Simba wanapoteza mpira
 
Okrah yupo chini akipatiwa matibabu baada ya kupata tatizo la msuli
 
Uwanja wa mkapa ama unatumika vinaya au haupati huduma,umekuwa ovyo.Ilitakiwa Kila baada ya mechi upate maji lakini Hilo halifanyiki.Utunzaji kwetu ni zero kabisa
 
15' Ameingia Kyombo badala ya Okrah baada kupata rabsha
 

Kwani wapi kamtaja KAPOMBE mkuu???
 
Mbrazil amefanya kosa kubwa sana kuja kufundisha timu kama simba. Maana kuna uwezekano mkubwa wa kujichafulia tu CV yake. Bora angebakia zake tu Vipers.
 
Hii mechi Simba wanataka kuwapaisha Alhilal? Maaana si kwa kikosi hiki
 
Free Kick kuelekea Simba inapigwa kulee lakini golikipa Beno anadaka shutii kali lile

Ilikuwa hatari sana..!
 
Waliedin wa Hilal, anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa mchezo mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…