OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kakolanya na Kenedy wana kosa ganiIli Simba iendelee kuna wachezaji zaidi ya 10 wanatakiwa kuondolewa
Kyombo
Banda
Bocco
Mkude
Nyoni
Kakolanya
Ali
Mwinuke
Kennedy
Okra
Kibu
Waondolewe hawa waletwe wengine
Yani ni wengi mno Outtara,Gadiel,hata huyu Sawadogo aliekuja ni mzigo tu anakumbakumba watu tuIli Simba iendelee kuna wachezaji zaidi ya 10 wanatakiwa kuondolewa
Kyombo
Banda
Bocco
Mkude
Nyoni
Kakolanya
Ali
Mwinuke
Kennedy
Okra
Kibu
Waondolewe hawa waletwe wengine
Mtaumiza wachezaji muhimu kwa ujinga wenu
Unataka aweke wachezaji wote wa maana waumie bure? Juzi tu wamecheza mechi ya ushindani.Kifupi Hii Mechi Inatuonesha Kwa Kiwango Gani simba Bado Hatujajiandaa kimataifa
Yani ni wengi mno Outtara,Gadiel,hata huyu Sawadogo aliekuja ni mzigo tu anakumbakumba watu tu
Simba ya kichwani mwako mtu akikutana nayo anaweza akakimbia sana. Ila Simba yenyewe tunayoitazama hapa ni kinyume.Simba ni kubwa sana, timu yako imejulikana kupitia mafanikio ya Simba
So ni either you win with us or you watch us win
Unataka aweke wachezaji wote wa maana waumie bure? Juzi tu wamecheza mechi ya ushindani.
We unaona wanaendana na Simba?Kakolanya na Kenedy wana kosa gani
Basi kumbe hujui? Sina muda wa kuhangaika na wewe kisa bonanza hiliWachezaji Gani Wa Maana ambao hawajawekwa na ni wangapi?