FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Aisee kuna mashambulizi yamefanyika hapa
 
49' Kyombo anapiga shutii lakini mpira unapaa nje ya lango.. Namna gani Kyombo
 
Kuna Subs zimefanyika hapo ila sijajua bado zimehusisha wachezaji gani
 
Mbrazil amefanya kosa kubwa sana kuja kufundisha timu kama simba. Maana kuna uwezekano mkubwa wa kujichafulia tu CV yake. Bora angebakia zake tu Vipers.
Mkiambiwa hamna akili mnakasirika.....manara alikuwa sahihi
 
Huyu Rasta wa Al Hilal anajikuta anakiburi sana, Refa kapiga filimbi kwasababu ya faulo aliyomchezea Enonga

Ye anaonesha kiburi anapiga mpira kufunga
 
Kwa Ambao Mnasema Simba Ni Iko Sawa, Je kwa Hii Ratiba na Fitness ya Wachezaji Tutatoboa?

Tarehe 11 Tunacheza na Horoya Kwao.

Tarehe 18 Tunacheza na Casablanca Kwa Mkapa

Siku Tatu mbele Tuna Mechi Ngumu na Azam Kwa Mkapa Ambayo tukifungwa Ubingwa wa NBC tuusahau kwa Njia Yoyote inatakiwa tushinde lakini kumbuka Siku Tatu Nyumba Tutakuwa tumecheza Mechi Ngumu Ya Shoka Inayo hitaji Tushinde kwa Mkapa kama Tunataka kusonga Mbele Kimataifa. Yaani itakuwa kama Leo.

Siku Nne Mbele baada ya Kukipiga na Azam mechi ngumu tuna Cheza na Vipers Kwao….

Haya Una Fitness ya Hiyo? Mkisema kishabiki sawa ila kiukweli Simba Tuchague moja
 
Back
Top Bottom