Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukawa na hoja ya msingi ila umeshindwa kujua muda sahihi wa kuiwasilishaKwa Ambao Mnasema Simba Ni Iko Sawa, Je kwa Hii Ratiba na Fitness ya Wachezaji Tutatoboa?
Tarehe 11 Tunacheza na Horoya Kwao.
Tarehe 18 Tunacheza na Casablanca Kwa Mkapa
Siku Tatu mbele Tuna Mechi Ngumu na Azam Kwa Mkapa Ambayo tukifungwa Ubingwa wa NBC tuusahau kwa Njia Yoyote inatakiwa tushinde lakini kumbuka Siku Tatu Nyumba Tutakuwa tumecheza Mechi Ngumu Ya Shoka Inayo hitaji Tushinde kwa Mkapa kama Tunataka kusonga Mbele Kimataifa. Yaani itakuwa kama Leo.
Siku Nne Mbele baada ya Kukipiga na Azam mechi ngumu tuna Cheza na Vipers Kwao….
Haya Una Fitness ya Hiyo? Mkisema kishabiki sawa ila kiukweli Simba Tuchague moja
Wakweli amechafua CV yake pakubwa sana, makolo watamfukuza bila hurumaMbrazil amefanya kosa kubwa sana kuja kufundisha timu kama simba. Maana kuna uwezekano mkubwa wa kujichafulia tu CV yake. Bora angebakia zake tu Vipers.
Tutamfukuza kama Yanga walivyowafukuza SportPesaWakweli amechafua CV yake pakubwa sana, makolo watamfukuza bila huruma