FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Hahahah ule mpira ulitoka, refa aliamua kuwa mzalendo
 
Hivi yule ni Kyombo au nani?
 
Sawadogo ni Mtu wewe angalia mikimbio na Pass zake Ni Pande la Mtu tunalo lihitaji Pale Kati.
Sawadogo ni player wa maana pale kati, kwanza anajua kukaba halafu hapotezi mipira hovyohovyo (pasi zinafika hata zile ambazo yupo kwenye mazingira ya kubanwa).

Sawadogo ni player wa maana sana, labda tu awe ni mzee wa majeruhi kila siku.
 
Mguu hauna macho

Poor finishing kutoka Al Hilal
 
90+5' Kuelekea kumalizika kwa mchezo, Mchezaji wa Hilal yupo chini akipatiwa matibabu.
 
Mgunda kama unasikia hebu fundisha strikers mna ya kucheza V pass ...
Sio makrosi tu,..kila wakati
 
Nani kakosa bao la wazi hilo?

Sio Kyombo huyo?
 
90+5' Mohamed Mussa Looooooo, anakosa nafasi nzuri ya kufunga, ilikuwa nafasi bomba

Simba SC 1-1 Al Hilal
 
Back
Top Bottom