FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

FT || Mechi ya Kirafiki | Simba 1 Vs 1 Al Hilal | Estadio de Benjamin Mkapa

Simba inacheza show off saizi
 
Nani aliyetanga kujifungisha hapa kwenye hii cona kick?
 
90+5' Kuelekea kumalizika kwa mchezo Uwanja wa Benjamin Mkapa

Hilal wanapata Kona, inapigwa kulee lakini mpira unatoka nje

Refa anaangalia saa yake, Ngoja Tusubiri

Naaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC na Al Hilal wanafungana bao moja kwa moja.

FT: SIMBA SC 1-1 AL HILAL

..... Ghazwat...
 
90+5' Mohamed Mussa Looooooo, anakosa nafasi nzuri ya kufunga, ilikuwa nafasi bomba

Simba SC 1-1 Al Hilal
Huyu dogo angefunga pale angekuwa na wakati mzuri sana msimu huu, ilikua nafasi rahisi sana ya mchezaji anayejua kufunga!
 
Yanga inaogopa hata kucheza mechi ya kirafiki.
Watu wanaenda kula bata Dubai wao wanapiga kambi Zanzibar.
Subirini mcheze mechi zenu za timu zilizoshindwa club bingwa.
Kila comment hasi basi ni Yanga mie sio Yanga, Simba SC ya mwaka huu na mwaka Jana mbovu sanaa
 
Back
Top Bottom