FT: Mechi ya kujipima nguvu Simba 1-1 Zira

FT: Mechi ya kujipima nguvu Simba 1-1 Zira

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Timu ya Simba ambayo iko kwenye Kambi ya maandalizi nchini Uturuki leo tarehe 24 Julai inacheza mechi yake ya kwanza ya majaribio.

Mechi hiyo itaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati na inapambana na timu ya Zira ya Azebaiajan..timu ya Zira iliyoko pia kwenye daraja la kwanza kwenye ligi ya nchi yao nayo iko nchini Uturuki kwa maandalizi kwa msimu ujao wa ligi.

Wanasimba tukutane hapa kwa ajili ya kupeana yanayojiri.

Karibuni. Kalpana OKW BOBAN SUNZU Scars

1690204530483.png
 
Mpira umeshaanza
 
Back
Top Bottom