Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,836
- 2,536
Mkuu unaangalizia wapi na sis tuangalieAlly Salim ameokoa penalty dakika ya 19
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaangalizia wapi na sis tuangalieAlly Salim ameokoa penalty dakika ya 19
Ingia simba appMwenye link basi tuangalie aisee
Simba app wako liveMkuu unaangalizia wapi na sis tuangalie
simbasc.co.tz
Kila nikimuangalia huyu bwana mdgo nakuwa na hasira sijui kwanini hasa hv unavyoniambia kadaka penalty (nusufinal ilikuwa inatuhusu)Ally Salim ameokoa penalty dakika ya 19
Ni half time Simba anaongoza Kwa BAO mojaTimu ya Simba ambayo iko kwenye Kambi ya maandalizi nchini Uturuki leo tarehe 24 Julai inacheza mechi yake ya kwanza ya majaribio.
Mechi hiyo itaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati na inapambana na timu ya Zira ya Azebaiajan..timu ya Zira iliyoko pia kwenye daraja la kwanza kwenye ligi ya nchi yao nayo iko nchini Uturuki kwa maandalizi kwa msimu ujao wa ligi.
Wanasimba tukutane hapa kwa ajili ya kupeana yanayojiri.
Karibuni. Kalpana OKW BOBAN SUNZU Scars
View attachment 2697858
AhaaSimba mmeshanyukwa viwili vya fasta fasta.
Zira wanaingiza mashine 8. Kocha tafadhali sana ingiza kosi wasirudishe hawaTimu ya Simba ambayo iko kwenye Kambi ya maandalizi nchini Uturuki leo tarehe 24 Julai inacheza mechi yake ya kwanza ya majaribio.
Mechi hiyo itaanza saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati na inapambana na timu ya Zira ya Azebaiajan..timu ya Zira iliyoko pia kwenye daraja la kwanza kwenye ligi ya nchi yao nayo iko nchini Uturuki kwa maandalizi kwa msimu ujao wa ligi.
Wanasimba tukutane hapa kwa ajili ya kupeana yanayojiri.
Karibuni. Kalpana OKW BOBAN SUNZU Scars
View attachment 2697858
Ally Salim ameokoa penalty dakika ya 19
Msimu ulioisha walicheza UEFA conference leagueWanaoangalia naomba kujua viwango vya wageni
Uhakika kaka kikubwa uzma lazma tukiwashe tarh yenyew.[emoji28][emoji28]was joking mkuu
By the way vipi ushajipatia jezi yako mpya eh?
Wenye nchi tunasubiri kwa hamu tarehe 6
Aah jamani nimekua kaka tena[emoji28]Uhakika kaka kikubwa uzma lazma tukiwashe tarh yenyew.