FT: Mechi ya kujipima nguvu Simba 1-1 Zira

FT: Mechi ya kujipima nguvu Simba 1-1 Zira

Iyo timu waliyocheza nayo mbona ata aieleweki ni ya wapi, wenzenu ... Yanga kakiwasha na kaizer chiefs nyie mnaokota timu za wauza matikiti ndio mnafanya nao mechi za kirafiki
Kaizer Chiefs haitashiriki michuano yoyote ya Klabu za Afrika. Ilikosa hata nafasi ya nne ligi ya South Africa
 
Zira FK ya Azerbaijan ni timu ya kujipima nayo nguvu?
 
Kaizer Chiefs haitashiriki michuano yoyote ya Klabu za Afrika. Ilikosa hata nafasi ya nne ligi ya South Africa
Aliyeko nafasi ya 5 south Africa ni sawa na aliyebeba ubingwa ligi ya Tanzania litambue ilo, ndiyo maana wakati anawachakaza goli 4 bila pale FNB Stadium alikuwa nafasi ya 10 uko lakini alionyesha kiwango bora kuwazidi
 
Kama ambavyo na sisi hatuyaonagi mema yao.
Hapana sio kweli,Yanga wana mema mengi mimi kama shabiki wa Simba nayajua.kulisha mifugo ya watu kwenye ofisi za club ni wema pia.
images.jpeg

Yanga wanahuruma nyie ni basi tu.
 
Quality ya hizi timu zetu tuzitegemee kwenye msimu ukishaanza.

Mengine haya ni propaganda tu za mpira.

Mwaka jana Yanga walikuwa avic wakijipima na timu za mchangani na mnyama alikua Esmaily misri.

In the end quality won.

Tupunguze mihemko na cheap popularity, tusubirie results
quality won 2 nil
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom