Inaonyeshwa wapi hii kitu?Timu ya Simba ambayo iko kwenye Kambi ya maandalizi nchini Uturuki leo tarehe 24 Julai inacheza mechi yake ya kwanza ya majaribio...
Pole mkuu,ahaaaaaanZira f.c walishawai kunichania mkeka mbwa hawa.
Chama hajaanzaIlibaki kidogo Chama atupie goli la kwanza
Tulieni dawa iwaingieAcha upotoshaji..kama shughuli haikuhusu pita kulee
[emoji28][emoji28]was joking mkuuChama hajaanza