Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Nimekisearch kitimu hata hakipo google 😂😂.Iyo timu waliyocheza nayo mbona ata aieleweki ni ya wapi, wenzenu wanacheza na timu zinazojielewa nyie mnatafuta vitimu vya ovyo ovyo, angalia azam kakiwasha na Esperance de tunis, Al hilal, Us monastries, Yanga kakiwasha na kaizer chiefs nyie mnaokota timu za wauza matikiti ndio mnafanya nao mechi za kirafiki
PoleChuma Cha pili Simba amepigwaa🤣🤣wanakalia misumaliiiii
Hujui kitu ndugu endelea kufatilia mechi za humu Africa tu.Iyo timu waliyocheza nayo mbona ata aieleweki ni ya wapi, wenzenu wanacheza na timu zinazojielewa nyie mnatafuta vitimu vya ovyo ovyo, angalia azam kakiwasha na Esperance de tunis, Al hilal, Us monastries, Yanga kakiwasha na kaizer chiefs nyie mnaokota timu za wauza matikiti ndio mnafanya nao mechi za kirafiki
Unalinganisha Monastirienne na timu inacheza Europa conference league? Europa league? Be seriousIyo timu waliyocheza nayo mbona ata aieleweki ni ya wapi, wenzenu wanacheza na timu zinazojielewa nyie mnatafuta vitimu vya ovyo ovyo, angalia azam kakiwasha na Esperance de tunis, Al hilal, Us monastries, Yanga kakiwasha na kaizer chiefs nyie mnaokota timu za wauza matikiti ndio mnafanya nao mechi za kirafiki
Nyie ndomnaojua simba na Yanga tuuNimekisearch kitimu hata hakipo google 😂😂.
Dah! Maelezo ni marefu mpaka basi. Yaani ni tofauti kabisa na wale wanaocheza na timu kama Kaizer Chiefs, Esperance, Us Monastir, nk. Anyway, kupanga ni kuchagua.Hujui kitu ndugu endelea kufatilia mechi za humu Africa tu.
timu za Arzbeijan Zira f.c,Kapaz f.c huwa zinacheza michuano ya Europe.
Mmezidi gubu bana dah!😅😂Dah! Maelezo ni marefu mpaka basi. Yaani ni tofauti kabisa na wale wanaocheza na timu kama Kaizer Chiefs, Esperance, Us Monastir, nk. Anyway, kupanga ni kuchagua.
Nimekisearch kitimu hata hakipo google 😂😂.
Iyo timu waliyocheza nayo mbona ata aieleweki ni ya wapi, wenzenu wanacheza na timu zinazojielewa nyie mnatafuta vitimu vya ovyo ovyo, angalia azam kakiwasha na Esperance de tunis, Al hilal, Us monastries, Yanga kakiwasha na kaizer chiefs nyie mnaokota timu za wauza matikiti ndio mnafanya nao mechi za kirafiki
Nchi inayotoka, FIFA ranking ni 121 (June 2023).Hujui kitu ndugu endelea kufatilia mechi za humu Africa tu.
timu za Arzbeijan Zira f.c,Kapaz f.c huwa zinacheza michuano ya Europe.
Umemaliza mkuu🙌🙌Nchi inayotoka, FIFA ranking ni 121 (June 2023).
Hata mkoa wa Ruvuma ungekua ni nchi iliyopo Ulaya, timu ya Majimaji ingeweza kushiriki Europe Champion League let alone Europa League.
Kaizer chief hawaijui yanga iliyoanzishwa 1935.... what a shameIyo timu waliyocheza nayo mbona ata aieleweki ni ya wapi, wenzenu wanacheza na timu zinazojielewa nyie mnatafuta vitimu vya ovyo ovyo, angalia azam kakiwasha na Esperance de tunis, Al hilal, Us monastries, Yanga kakiwasha na kaizer chiefs nyie mnaokota timu za wauza matikiti ndio mnafanya nao mechi za kirafiki
Quality ya hizi timu zetu tuzitegemee kwenye msimu ukishaanza.Hujui kitu ndugu endelea kufatilia mechi za humu Africa tu.
timu za Arzbeijan Zira f.c,Kapaz f.c huwa zinacheza michuano ya Europe.
Mwaka jana Simba aikua mbaya,kimataifa Simba wamepanda juu zaidi,michuano ya ndani kilichoikosesha ubingwa Simba ni kuandamwa na majeruhi kwa wachezaji wake muhimu.Quality ya hizi timu zetu tuzitegemee kwenye msimu ukishaanza.
Mengine haya ni propaganda tu za mpira.
Mwaka jana Yanga walikuwa avic wakijipima na timu za mchangani na mnyama alikua Esmaily misri.
In the end quality won.
Tupunguze mihemko na cheap popularity, tusubirie results
Pole najua mmeumia Simba kujipima nguvu na walio juu zaidi yetu ndio maana amuishi kukandia.Nchi inayotoka, FIFA ranking ni 121 (June 2023).
Hata mkoa wa Ruvuma ungekua ni nchi iliyopo Ulaya, timu ya Majimaji ingeweza kushiriki UEFA Champion League let alone Europa League.
Anajua hata kusearch?si umemsikia kasema hakukiona.wakati mwingine tunalala tumechoka kwa kupangusa makamasi.Zire | UEFA Conference League 2024/25
Visit UEFA.com to find out how Zire are doing in the UEFA Conference League 2024/2025, including latest match news, stats, squad list and news updates.www.uefa.com