FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

Mighty wanderers ni wazuri,
Tukijichanganya tunapasuka
 
Simba ni wakubwa.
Uzoefu ni kila kitu
 
Hawa WAMALAWI huenda wakawa wagumu...wanarudi nyuma kwa haraka na wakipata mpira wanasogea kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…