Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Mpanzu nae ni msimbe tu
Kipenzi cha kocha kila mara anachomesha.Simba hiyo takataka inaitwa kogoma sijui walioiokota wapi
Simba hovyo sana,yaani mchezaji ni Libase pekee.Nawashangaa hawa jamaa hawaiheshimu Simba.
Wanajaribu kucheza kwa kupishana nao.
Kitawalamba
Madhaifu ya simba yote kwa kipindi cha kwanza tatizo ni kagomaSahihi. Kagoma uwezo wake umezidi kuzorota kabisa. Anaiweka timu chini sana, japokuwa Mpanzu nae ana changamoto kubwa
Sio hawajitumi Maema , Keltso ni wazito sana.Wachezaji wa Simba hawajitumi,wanapiga pasi wamesimama,timu inaonekana energy ipo chini sana,kocha ame relax anaona sawa tu,kipa anachelewesha mipira,wanapata nafasi ya ku counter attack wanakimbia kujichelewesha wakisubiri wakabwe kisha mpira warudishe kwa kipa.
Tatizo namba moja ni benchi la ufundi.
Timu inacheza hovyo sana.Kikosi kama cha Namungo tu
Kwanini kila msimu Simba Yanga wanakosa timu za kushindana na waarabu?Simba sioni kama tuna timu ya kuvimbiana na waarabu ambao wapo kwenye ubora.
Nafikiri benchi la ufundi pia watakuwa wameona mapungufu hayo. Kama sisi tumeona, wenye taaluma yao wanajua zaidiTuna kazi sana.
Yes, Libase anafungua pattern za ulinzi za timu pinzani kitu ambacho huyu Makgalwa ameshindwa. Bora Oura arudi kushoto na Bakari Msimu aende kuliaLibase anatufungua macho sasa.
Umuhimu wake unaonekana.
Hatuna pia namba 6
Huyo ndio mchezaji anastahili kubaki simba , na pale uto kuna Duke na kipa tuSimba isiyo na Libase Gueye haijawahi kumvutia mpenda mpira wa miguu yeyote yule isipokuwa mashabiki wake tu.
Yaani namaanisha kwanini hawajengi team za kupimana misuli na waarabu!Huwa wanaanzia na timu nyepesi.
Wako Pots za juu.
Labda sielewi maana ya kuchomeshaKipenzi cha kocha kila mara anachomesha.
Sijui ni bajeti. Wai.Kwanini kila msimu Simba Yanga wanakosa timu za kushindana na waarabu?
Daah hata wengine wakikosea kutoa pasi tatizo ni Kagoma sio.Madhaifu ya simba yote kwa kipindi cha kwanza tatizo ni kagoma
Nae sio kwamba kawaweza tu hata mechi zao zinachezeshwa kwa haki pia..Yaani namaanisha kwanini hawajengi team za kupimana misuli na waarabu!
Watakuwa wanabeba makombe mpaka lini?
So mamelod tu ndo amewaweza waarabu?