FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

Sio hawajitumi Maema , Keltso ni wazito sana.
 
Libase anatufungua macho sasa.
Umuhimu wake unaonekana.
Hatuna pia namba 6
Yes, Libase anafungua pattern za ulinzi za timu pinzani kitu ambacho huyu Makgalwa ameshindwa. Bora Oura arudi kushoto na Bakari Msimu aende kulia
 
Kuna takataka kama Makgalwa, Mpanzu, Kagoma, Morice Abraham. Hizi zinatakiwa ziondolewe pale Simba. Tuone pia kuhusu Doumbia, ikibidi nae safari inamhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…