FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

Yaani namaanisha kwanini hawajengi team za kupimana misuli na waarabu!
Watakuwa wanabeba makombe mpaka lini?
So mamelod tu ndo amewaweza waarabu?
Mipango mwanetu
 
Dk 47
Simba wanapata kona.
Inapigwa kipa anapangua kwa uzuri kabisa
 
Singida black Stars Tegis tayari ana hatrick...
 
Huu mechi inahitaji Akili....
Ni muhimu CHAMA aingie badala ya KALETSO....
DOUMBIA sio
.
 
Chumaaaaaaaaaaa
 

View: https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
 
Mkubwa mkubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…