FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Ila wachezaji wa Simba sijui Wana akili gani. Hawabadiliki. Nilidhani wangekuja na approach tofauti na ile mechi ya Singida ila ndio hivyo, hawabadiliki. Inabidi Benchika aondoke awaache. Watamdhalilisha tu.
Hata mimi nilidhani watakuja na mbinu tofauti!! Ila mpira ni ule ule tu! Bora Simba Queens kuliko hawa wazee
 
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]awaja pewa tu kona hawa makolo hadi saivi,,achana na penalty maana iyo ni kama dozi lazima wapewe
 
Wakuu mbona sielewi?
tumekata moto ama....
TUJIKUMBUSHE KIDOGO

MAKOLO 0 .......1 MLANDEGE


Leo lefa kala pesa ya makolo ....na bdo kawakataa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…