FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Ndio nafika Leo simu yangu ilikuwa kwa fundi
Hongereni simba kwa kuchukua kombe

NB I mean I mean kombe la alkasusu
 
Ndugu yetu Jana alizimia ...kisa kochapo...so tumpe pole sana a Kalpana

Ndugu michezo ndivyo ilivyo .....don't take too personal
Nizimie?? Ur not serious my young bro...
Waache wala urojo wafurahie na wao..ile ilikua siku muhimu kwao...
 
Nizimie?? Ur not serious my young bro...
Waache wala urojo wafurahie na wao..ile ilikua siku muhimu kwao...
Pole sana mkuu.... Simba ndiyo ilivyo .....nipe no pm .....niku m-pesa kidogo ujifariji
 
Screenshot_20240115-082639.jpg

Eti, Mapinduzi Cup Champions 2024/2025😜😜😜
 
Utafiti wangu inaonyesha washabiki wa yanga wengi ni wanawake,mashoga na wanaume ambao sio mashoga ila wanaelements na tabia za kike..wachache sana ni wanaume kweli nikama asili 0.1
 
Pole sana mkuu.... Simba ndiyo ilivyo .....nipe no pm .....niku m-pesa kidogo ujifariji
Ungekua na hela usingekua unashinda jukwaank 24/7 kuanzisha nyuzi za kukupa faraja..yani kwa hali mbaya uliyonayo ni Simba pekee inayokufariji kwa kufeli kwake...mtu kama ww ni maskini wa mali na hali...labda unitumie namba yako nikupe bando la mwezi ili ujifariji vzr kwa kuanzisha mada za Simba..
 
Back
Top Bottom