FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Tofauti ya Simba na vikosi vingine hutaina wakilalamika au kutaka kupiga marefa. Simba ni timu kubwa ona timu zote zinaungana kupambana nayo.
 
Leo mnakiri wenzenu walitolewa makusudi?
Mngeshinda mngesema haya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakukua na uwezekano wa kushinda,
Mie nilijua kabisaa km simba angetangulia, bas ingeishia matuta.
 
Tofauti ya Simba na vikosi vingine hutaina wakilalamika au kutaka kupiga marefa. Simba ni timu kubwa ona timu zote zinaungana kupambana nayo.
Ulalamike na wakati ni mnufaika wa hayo mambo? [emoji1][emoji1] hiyo fainali yenyewe kafosiwa tu kuwemo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…