Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naunga mkono hojaUlivyofanya kwa singida, wewe ni timu ya zanzibari?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono hojaUlivyofanya kwa singida, wewe ni timu ya zanzibari?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakukua na uwezekano wa kushinda,Leo mnakiri wenzenu walitolewa makusudi?
Mngeshinda mngesema haya?
Mwasibu wao ameshatoa mwongozo!Makolo kesho utasikia... hatumtaki benchika
Hatumtaki mangungu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kikosi chako kimepata bei gani?Kikosi cha bilion 3 kimeambulia milioni 80. Hii ndo ile miradi ya serikali unakuta kiongozi ana LC V8 10 kwenye msafara kwenda kuzindua darasa moja la milioni 40
Sema watu wasahaulifu sana, mmesahau ninyi mlivyoandaaga jezi za 50 Matches Unbeaten ila Ihefu wakavuruga kila kitu, leo hii mnacheka hiloWaliandaa hadi jersey[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaan hatariii.Wameanza hivyo
Ulalamike na wakati ni mnufaika wa hayo mambo? [emoji1][emoji1] hiyo fainali yenyewe kafosiwa tu kuwemoTofauti ya Simba na vikosi vingine hutaina wakilalamika au kutaka kupiga marefa. Simba ni timu kubwa ona timu zote zinaungana kupambana nayo.
Eti unasema nini!Mnaona lakini hawa watoto wanavyojiangusha??
Tusilaumiane huko mbeleni
[emoji23][emoji23][emoji23] km nyie tyuuh mlopigwa 3.Mjukuu hamna timu pale acha kulaumu refa!
Jizazi!
Mwanae mnene huyo🤣😂😁Namuona don abdul satar na mwanawe
Kwanini bwana mwasibu mbobevu OKW BOBAN SUNZU asitupe tathmini yake kiuhasibu?Kikosi cha bilion 3 kimeambulia milioni 80. Hii ndo ile miradi ya serikali unakuta kiongozi ana LC V8 10 kwenye msafara kwenda kuzindua darasa moja la milioni 40
Kikubwa mmefungwaTofauti ya Simba na vikosi vingine hutaina wakilalamika au kutaka kupiga marefa. Simba ni timu kubwa ona timu zote zinaungana kupambana nayo.