cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ngoma si ndo kachukua tuzo ya mchezaji bora wa mashindano? AuSijui wanawaokota wapi,mchezaji mzuri kwenye hii mechi zote ni Ngoma tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma si ndo kachukua tuzo ya mchezaji bora wa mashindano? AuSijui wanawaokota wapi,mchezaji mzuri kwenye hii mechi zote ni Ngoma tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpira ulipoisha nikabadili chanel sikuangalia hata ugawaji tuzoNgoma si ndo kachukua tuzo ya mchezaji bora wa mashindano? Au
Safi kabisa wew ndio mshabiki wa kweli wa Simba. Kingine ni kwamba hamkustahili kucheza hii fainali sio Simba tu hata mla ndege pia, maana waliostahili kucheza hii fainali ni APR na SINGIDA ambao wamefanyiwa dhulma ya wazi wazi na marefa vichwa panzi.Hii mechi tusimlaumu refa, amechezesha vizuri tu ,Simba hatuna wachezaji wenye ari ,tangu mpira uanze Simba tulikuwa na uwezo wa kuwafunga Mlandege hata magoli mawili, Simba wamefungwa ndo wanaanza kucheza mpira wa kasi, wangecheza kama walivyocheza mwanzoni tungewafunga,wao wakifungwa ndo wanaanza kuwa serious
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau mlishawahi kwenda mpaka Fifa mpewe pointi za kagera sugar kwa madai wamechezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano.....umesahau we kibakaSimba haina utamaduni WA kulalamika. Yanga mara ya kwanza kushiriki mashindano makubwa baada ya miaka 28 tayari imeshaandika barua kulalamika. Mara CAS mara CAF umeshawahi kuona Simba Wana ujinga huo?
Wee uliliwa na APR tyatyuuuuuu!!! Usijisahaulishe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni kweliSafi kabisa wew ndio mshabiki wa kweli wa Simba. Kingine ni kwamba hamkustahili kucheza hii fainali sio Simba tu hata mla ndege pia, maana waliostahili kucheza hii fainali ni APR na SINGIDA ambao wamefanyiwa dhulma ya wazi wazi na marefa vichwa panzi.
😂😁😁🤣🤣🤣Nimetema za kutosha sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna hutemii chechee, ni kwamba unaogopaa au unajistukiaaaa??
Tapikaa manenooo bhana, huoni wenzio wana heka heka hapa.
Tumekunaliana Simba sasa ni dada Mwajuma😂😂Mliwa 5 Leo tena kaliwa na mla ndege.... Simba ameliwa unyounyoooo yaani 🤣🤣🤣
Tunategemea Saidoo na Onana, HV Sakho na Peter Banda walzidiwa niniHii mechi tusimlaumu refa, amechezesha vizuri tu ,Simba hatuna wachezaji wenye ari ,tangu mpira uanze Simba tulikuwa na uwezo wa kuwafunga Mlandege hata magoli mawili, Simba wamefungwa ndo wanaanza kucheza mpira wa kasi, wangecheza kama walivyocheza mwishoni tungewafunga,wao wakifungwa ndo wanaanza kuwa serious.