FT: Mlandege 1 - 0 Simba SC | Mapinduzi Cup | New Amaan Complex | Fainali | 13.01.2024. Kombe limebaki Mlandege

Hii mechi tusimlaumu refa, amechezesha vizuri tu ,Simba hatuna wachezaji wenye ari ,tangu mpira uanze Simba tulikuwa na uwezo wa kuwafunga Mlandege hata magoli mawili, Simba wamefungwa ndo wanaanza kucheza mpira wa kasi, wangecheza kama walivyocheza mwishoni tungewafunga,wao wakifungwa ndo wanaanza kuwa serious.
 
Safi kabisa wew ndio mshabiki wa kweli wa Simba. Kingine ni kwamba hamkustahili kucheza hii fainali sio Simba tu hata mla ndege pia, maana waliostahili kucheza hii fainali ni APR na SINGIDA ambao wamefanyiwa dhulma ya wazi wazi na marefa vichwa panzi.
 
Simba haina utamaduni WA kulalamika. Yanga mara ya kwanza kushiriki mashindano makubwa baada ya miaka 28 tayari imeshaandika barua kulalamika. Mara CAS mara CAF umeshawahi kuona Simba Wana ujinga huo?
Umesahau mlishawahi kwenda mpaka Fifa mpewe pointi za kagera sugar kwa madai wamechezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano.....umesahau we kibaka
 
Tatizo la simba siyo kocha wala wachezaji tatizo ni gudiola mnene. Bila kumuondoa gadiola simba, timu haitakaa itoboe. Kajamaa kawizadi sana hako
Hata mo alete huyo straika wa 750m ni kazi bure bila kumuondoa gadiola
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mbna hutemii chechee, ni kwamba unaogopaa au unajistukiaaaa??
Tapikaa manenooo bhana, huoni wenzio wana heka heka hapa.
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£πŸ€£Nimetema za kutosha sana
 
Tunategemea Saidoo na Onana, HV Sakho na Peter Banda walzidiwa nini
 
Mashindano ya mwaka huu naona yameharibiwa na marefa katika hatua za mwisho.Timu zimeondoka kwa kuyaponda hayo mashindano ya mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…