FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Hapo sina la kuongea mkuu, kuna mengi ya kufikiria hapo, ila tusikimbilie tu kusema wamenyimwa haki bila kuzijua sheria
Eti huna la kuongea ..mnafiki.mkubwa ..sheria Gani pale ilitakiwa kutafsiriwa...nauliza tu pesa mlizomuahidi refa wa mali mmeshamuekea kwenye akaunti yake nyinyi waarabu Koko
 
Sijui hata kwa nini nimefurahi... jana banda umiza zote baada ya kuingia goli nilisikia kelele za hatari kipindi hicho nilikua nje nikajua tumefunga nakuja kuuliza vipi nasikia makelele huko tumefunga au.. naambiwa wanashangilia tumefungwa ndio nikagundua tatizo lipo wapi bora tumefungwa
 
Sisi watanzania tunashukuru mpira umeisha kwa amani, amani ni bora kuliko haki
 
Hiyo who are you aende akamuulize Maduro huko. Such an imbecilic statement!

View attachment 3525462
WHU A U kapigwa biti kali sana na Wanajeshi wa Marekani anaambiwa hao anaowaona wa maana sio China sio Russia sio North Korea sio Iran na wengine ISIS na Alqaida sio kitu kwa Marekani wakiamua wanatimba tu na kumchukua km kifaranga cha kuku.. ndio nimeanza kuelewa kwanini Marekani nembo yao ni lile lindege likubwa linaitwa Tai
 
Iliwezekanaje kuuwa maelfu ya watu, halafu ikashindikana kuiuwa Morocco jana?

Mtoa amri hakusisitiza au alisalitiwa?
There was no politics kwenye soccer

Vijana Kuweni focused
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…