FT: Morocco 1-0 Tanzania | AFCON 2025 | 16 Round | Prince Moulay Stadium, Rabat | 04 January 2026| Saa 1:00 Usiku

Msuva yupo katikati ya magiant atatoboa kweli?
 
Mwalimu namba anayocheza haelewi.
Hizi back passes zake zitatucost
 
Mnoga hamna kitu

Wewe mwenye kitu unajamba jamba tu kwenye sofa za shemeji yako ukijikuna makalio. Waache wenzio wapo Morocco wanacheza wewe na hicho kitu chako usingekaa kwa shemejio.
 
Kwa nguvu hizi za Morroco...
KIBU DENNIS badala ya MSUVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…