CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Leo nimeona Kanoute kacheza Vizuri sana.......Madogo Hawa WA JF.
Kila TUKIWAAMBIA MATATIZO ya Simba Hawatuelewi.
1. Nilisitiza beki wa kati WA kumchallange Inonga na Malone wakiwa na ADHABU ,ugonjwa ama kiwango.
2. Nikasisitiza sana Simba kukosa kiungo mkabaji CDM kama Bangala
3. Nikashangazwa na usajili WA Mawinga Kumi.
Wooooooooo!0 - 3 mnyama anashinda
Leo nimeshangaa sana ubora wake kucheza juuLeo nimeona Kanoute kacheza Vizuri sana.......
Akiwa juu, nadhani huwa tunamuonea kumchezesha CDM.
Sasa wale yanga walishindwaje?
Nipo Mkuu nimesha patikana.hivi upo maana ilisemekana umepotea Toka fainali ya ngao ya jamii.
Yanga akikutana na IHEFU mziki unakuwaje?Simba hii ikikutana na timu kama Singida BS au Mashujaa FC ,ukiachilia Yanga watapata tabu sana.
Mwisho wa siku tutalichukuaHili kombe tutalichukua katika mazingira magumu sana
Kwa nini umeitoa utopolo?Simba hii ikikutana na timu kama Singida BS au Mashujaa FC ,ukiachilia Yanga watapata tabu sana.