FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Madogo Hawa WA JF.

Kila TUKIWAAMBIA MATATIZO ya Simba Hawatuelewi.

1. Nilisitiza beki wa kati WA kumchallange Inonga na Malone wakiwa na ADHABU ,ugonjwa ama kiwango.

2. Nikasisitiza sana Simba kukosa kiungo mkabaji CDM 6 kama Bangala .
Viungo wote WA Simba ni BOX TO BOX. NO 8.

3. Nikashangazwa na usajili WA Mawinga Kumi.

TUTAELEWANA TARATIBU TARATIBU
 
Madogo Hawa WA JF.

Kila TUKIWAAMBIA MATATIZO ya Simba Hawatuelewi.

1. Nilisitiza beki wa kati WA kumchallange Inonga na Malone wakiwa na ADHABU ,ugonjwa ama kiwango.

2. Nikasisitiza sana Simba kukosa kiungo mkabaji CDM kama Bangala

3. Nikashangazwa na usajili WA Mawinga Kumi.
Leo nimeona Kanoute kacheza Vizuri sana.......
Akiwa juu, nadhani huwa tunamuonea kumchezesha CDM.
 
Sikuangalia kipindi cha kwanza nimeibuka sasa nacheki marudio ya magoli nimegundua CheMalone ana kitu atafika mbali.
 
Tunamtaka kocha wa makipa wa robo robo fc, Cadena, aje tena na mbwembwe zake kwamba ndiye alimpa mbinu Ali salim, jinsi ya kufungwa magoli mawili ya haraka haraka.
 
Back
Top Bottom