FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Fisi alikuwa anafuatilia kwa nyuma akitegemea mkono ungedondoka! Muda huu naona keshajikatia tamaa!!
 
Reactions: BRN
Mimi naona Wachezaji wetu bado hawajakaa sawa.

Na hata Kocha wetu anaonekana ana Wasiwasi bado.

Robetinyo sio mtu wa Sub nyingi namna hii.

By the way Tunataka kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…