The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1.
Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu mkoani morogoro
Mchezo huu wa leo unategemewa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika zote 90
tusubiri mwisho wa mchezo..! Usikose Ukaambiwa na kumbuka kabumbu hili murua litakuwa Mubashara Azam Sports1 View attachment 2719718
kuanzia saa 10: 00 jioni.
Kikosi hiki hapa,All the best mnyama