Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ambavyo tulipata kibonde wikiendi iliyopitaOnana
Simba mmepata kibonde leo
Uwanja haurushusu mkuu hapo ni objective football tuIla Simba nado haipigi ile soka ambalo tunataka kuliona
Ngapi huko jamani?Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea leo August 17 2023 kwa Bingwa wa ngao ya jamii Simba SC, Mnyama Mkali Mwituni, Lunyasi wakiwa na furaha ya kutoka kumshindilia mtani wake yanga kwa penati 4-1.
Sasa wanageukia ligi kuu kuwakaribisha Mtibwa Sugar, WakataMiwa kunako uwanja wa manungu mkoani morogoro
Mchezo huu wa leo unategemewa kuwa mkali na wakusisimua kwa muda wote wa dakika zote 90
tusubiri mwisho wa mchezo..! Usikose Ukaambiwa na kumbuka kabumbu hili murua litakuwa Mubashara Azam Sports1 View attachment 2719718
kuanzia saa 10: 00 jioni.
Ile mlifunga ata moja?uchawi ukiwasaidia sanaKama ambavyo tulipata kibonde wikiendi iliyopita
Kibu na kanoute wanajaza tu server . Halafu bocco wa kazi gani?