Tuliza munkari, tutayarudisha na nyongeza juu.Kituuuuuuuuu Onanaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza munkari, tutayarudisha na nyongeza juu.Kituuuuuuuuu Onanaaaaa
Shati lileJamani huyu si ndio yule kipa wetu Ally Salum. [emoji1787][emoji1787]
Eeehviwili tayari.... Tobias Kifaru hoi
Mtibwa wameoteaaa...huyu che fondoo anafanya nini mbele huku?
Kwa kweeli. 😅Shati lile
2-2Bro Scars sijakusoma. Nani kafunga na nan karudisha? Zote umesema Mtibwa.
Aaaa wapiii...mtasubiri sana...Tuliza munkari, tutayarudisha na nyongeza juu.
Siku Ile na yanga aliwasaidia Sana,bila yeye mngekula nyingi,Kuna muda mpira unamkataa mtu.nikuelewa ili tuBora angebaki Onyango tu. Huyu Malone anachomesha sana hata dhidi Dynamo alichomesha.
Dakika ya 28 mpira 2-2? Dah
Tatizo ni timu nzima, kama nilivyosema kuwa timu ni dhaifu ikiwa haina mpira, hata dk 10 hazijapita goli zimerudi zoteTatizo sui ukuta hapa tatizo midfielders.