FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

[emoji36]
img_2_1689805023875.jpg


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Wabongo wengi ni ma haters, wakat Simba wanaongoza 2 bila Uzi ulikuwa page ya 62 eti Mtibwa wamerudisha ghafra imefika 102
Hahah sanaa, huwa nacheka pia kwa azam,
Wakishinda kwenye page zao utaona kuna comments chache tu, ila wakifungwa sasa,
Comments twiter zinafika buku kabisa 🤣🤣🤣
 
Jamani huyu si ndio yule kipa wetu Ally Salum. [emoji1787][emoji1787]
Tatizizo sio kipa, Tatizo uyo Che fondo anacheza kwa spidi ya konokono, ananyang'anywa mpira watu wanajifungia tu. Ata mpira wa kwanza kabisa kama Mtibwa wangekua watulivu wangefunga goli.
Goli la pili Ndugu Chefondo kapanda mbele, na Mwenzake Kenedy Juma kapanda mbele kati wamemwacha Ngoma ambaye hanambio naye ni spidi ya konokono.

Ki msingi leo tulitarajia simba ashinde kwakua anacheza na timu za mid table lakini mpaka sasa haieleweki itakuaje.
Hizi timu za mid table ndizo Simba uwa wanaonekana tishio ila kule Top four inabidi marefa wa aibike ili Simba ishinde.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom