FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Fukuza Chiba, Mrudisheni mgunda fasta la sivyo msimu huu mtacheza play off
 
37'

Kona tena kwa Simba

Kipa anakuwa wakwanza kudaka
 
Sasa ni rasmi GENTAMYCINE naongoza Kampeni ya kutomtaka Kocha Mbrazili Roberto Oliveira kwa Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri na naombea leo Simba SC ifungwe kabisa ili Tugombane vizuri au tutoke Sare / Suluhu ili Kusikalike Klabuni.

Asanteni sana tu Mtibwa Sugar FC.
 
Back
Top Bottom