FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Simba na naona kakoswa tena, watoto wamepiga kaunta nzuri, ila wamechemka kuitumia. Kapombe naona leo kama amekuwa uchochoro.
 
Jamani 5imba wenzangu tupunguzeni jazba basi. 🤣

Uzi ukisharuka kwenye server za Jf hauna mwenyewe huo. 🤣🤣🤣
 
Ukumbuke wale wa kubeti tumeiwekea simba hela hayo maombi ungefanya baada ya sisi kupata gawio kuwa na huruma genta
 
Hapa naona kama pengo la Mzamiru linaonekana

Mzamiru na Kanoute ni wakabaji wazuri
Ngoma ni mzuri lakini sio timu ikishambuliwa

Ila tutashinda kinyonge
Ile DNA ya mpira wa Simba siioni kabisa
 
Back
Top Bottom