Ni ujanja wa mjini, ulitaka awe kama Diara ambaye badala ya kwenda mbele, anaenda kushoto tena kwa kufuata chaki 🤣🤣🤣Kipa wa Makolo mwizi uwanjani anawaibia waamuzi anatoka kwenye mstari kabla ya Penati kupigwa jizi
Kwahiyo hiyo picha ndio inaonesha nini? Mbona umekuja kujivua nguo hiyo picha si inaonesha Chama yuko mbele kuliko wachezaji woteHili goli SIYO offside. Najua kesho wacha-mbuzi wataliongelea sana siku nzima. Watumieni hii picha.
View attachment 2720202
Lakini imechukua ngaoMabeki wa Simba ni wa kuwaadhibu Yanga...
Hii ni Simba ya hovyo kuliko zote katika miaka mitano iliyopita
Wewe kwa macho yako unaona kati ya Chama na huyo beki jezi namba 5 nani yuko karibu zaidi na goli?Kwahiyo hiyo picha ndio inaonesha nini? Mbona umekuja kujivua nguo hiyo picha si inaonesha Chama yuko mbele kuliko wachezaji wote
Dah napata wasiwasi na macho yako kama yapo sawa na kupeleka tafsiri sawa sawa katika ubongo. Yaani mchezaji mwenye jezi namba 5 unaona yupo karibu na goli. Embu angalia mabango ya pembeni kama reference yako halafu angalia mchezaji gani yupo mbele zaidi kwa kuangalia hayo mabangoWewe kwa macho yako unaona kati ya Chama na huyo beki jezi namba 5 nani yuko karibu zaidi na goli.
Pia hii angle sawa na ile ya Mzize tu, ni ngumu sana kuwa na uhakika wa 100%. Azam wanakosea kutokuwa na camera usawa karibu na goli kwa ajili ya kuhakiki matukio kama haya ya offside ila afadhali kidogo ya Mzize unaweza kuhoji, ila hii ya Chama hapana. Hii siyo offside.
Camera za Azam ndio zinazoleta huu utata.Dah napata wasiwasi na macho yako kama yapo sawa na kupeleka tafsiri sawa sawa katika ubongo. Yaani mchezaji mwenye jezi namba 5 unaona yupo karibu na goli. Embu angalia mabango ya pembeni kama reference yako halafu angalia mchezaji gani yupo mbele zaidi kwa kuangalia hayo mabango
Bora wewe uliyesema camera za Azam, kuliko huyo anayeleta picha ilichokuliwa kwa angle ambayo inaonesha Chama yupo offsideCamera za Azam ndio zinazoleta huu utata.
Ungekuwa unajua masuala ya perspective ungejua huyo beki ndiyo mtu wa mwisho kwenye hiyo picha. Badala ya kuchora "imaginary line" wewe unaenda kuangalia mabangoDah napata wasiwasi na macho yako kama yapo sawa na kupeleka tafsiri sawa sawa katika ubongo. Yaani mchezaji mwenye jezi namba 5 unaona yupo karibu na goli. Embu angalia mabango ya pembeni kama reference yako halafu angalia mchezaji gani yupo mbele zaidi kwa kuangalia hayo mabango
Kwani mimi sijasema kuhusu camera?Bora wewe uliyesema camera za Azam, kuliko huyo anayeleta picha ilichokuliwa kwa angle ambayo inaonesha Chama yupo offside
Kweli nyie mazuzu mara hii mumeshaisahau IhefuMechi ya kwanza tu tayari mmesharuhusu goli 2. Tena kwa timu dhaifu ya Mtibwa.
Ni suala la muda tu. Mtafarakana
Chora wewe imaginary line uweke hapaUngekuwa unajua masuala ya perspective ungejua huyo beki ndiyo mtu wa mwisho kwenye hiyo picha. Badala ya kuchora "imaginary line" wewe unaenda kuangalia mabango
Tumia macho yako ukizingatia angle ya uwanja ulivyokaa au muulize mtu anayejua kuchora aliye na ufahamu na mambo ya perspective atakwambia. Nilichora ya Mzize maana ilikuwa close sana ila hii wala siwezi kujisumbua. Muhimu zaidi ni kwa AZAM kuongeza camera ingawa nazo mtu akiamua kubisha hata hizo angle nzuri bado mtabisha kama mlivyobisha goli la Singida au lile la Moloko.Chora wewe imaginary line uweke hapa
Rotation which rotation unayozungumzia maana asilimia kubwa wachezaji ni wale wale tu.......Mimi nina furaha timu yangu inazidi kuimarika na rotation ya wachezaji inafanyika.
2-4 ni ushindi mzuri, timu itakaa sawa kadri ya mechi zinavyoendelea, washabiki wasioujua mpira ndiyo wapumbavu wanaolalamikia kocha.
Simba Nguvu moja[emoji881][emoji881][emoji123]