FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

hongera
 
Contrary to other days, leo wenzetu wamekuwa wapole kama vile hawajacheza na kupata ushindi 'mnono'. Mitandaoni kumetulia sana

Ni ukomavu au mawazo?
Kuruhusu goli 2 kwa Mtibwa ni jambo baya. Ilibidi tuwafunge 4-0 au walau 4-1 kama tulivyowafunga Yanga
 
Jamani 5imba wenzangu tupunguzeni jazba basi. [emoji1787]

Uzi ukisharuka kwenye server za Jf hauna mwenyewe huo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poleeeee mtaniiiiii!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lia taratibuuuuu, tumeshavuka hizo level.
 
Kuna Utopolo wanamlaumu Ally Salum kwa magoli aliyofungwa kwenye mechi na Mtibwa.Kweli kupenda mpira kwenye mitandao ya jamii kuna raha zake. Unapayuka tu.
 
Kwenye mikeka yenu huko hamfanyi ujinga

Ila mkija hapa jukwaani mnajidai kuitakia Simba ifungwe.

Wakati kula yenu ipo miguuni mwa wachezaji wetu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…