FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023



Kikosi hiki hapa,All the best mnyama
 
Mechi ya kuchezwa jamuhuri, wao wanapeleka manungu!!!!!!

PUMBAFU sana.
 
4-1 ya wapi wewe acha uongo
 
Huyu Tshabalala na Kapombe kila siku wao tu, Kocha awape nafasi pia Israel Mwenda na Jimmyson Mwanuke.

# Simba , Nguvu moja.
 
At least msimu huu tunaweza kusema Manungu kuna uwanja wa mpira
 
Simba inapata kona ya kwanza dakika ya 1

Chama nyuma ya mpira

Chama anapiga cross mlinda mlango anakuwa wa kwanza kuudaka
 
Lalalalaaa Mtibwa wanakosa bao hapa

Mpira unatoka unakuwa kona.

Kona inapigwa inazuiliwa.

Mpira unaendelea
 
Camera za azam jau sana, mpira ukiwa upande wa pili kule unaona rangi tu.
 
Huyu Tshabalala na Kapombe kila siku wao tu, Kocha awape nafasi pia Israel Mwenda na Jimmyson Mwanuke.
Akimpa nafasi Bocco mnapiga kelele kuwa ampe nafasi Phiri
 
Robertinho bado anaamini kwenye mipira mirefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…