Tatizo anampira wa kujiamini kupitiliza yeye ndo sababu ya goli la kwanza.VP ukuta wa jeriko leo haupo au upo sub
Aloooo. 😅😅Ndio yeye bhana🤣🤣🤣 anadaka mpaka malalako
Sawa Mtani.Msifie mtu akifanya vizuri
Toka liniiii...karibu jiraniRelax mwana lunyasi mwenzangu tuangalie mpira
Bocco hastahili hata kuwepo kwenye benchi la akiba!!
2 - 2.Ngapi uko?
Na bado.Wabongo wengi ni ma haters, wakat Simba wanaongoza 2 bila Uzi ulikuwa page ya 62 eti Mtibwa wamerudisha ghafra imefika 102
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Malone kachomesha
Marefa wapo,usijaliHili kombe tutalichukua katika mazingira magumu sana
Wanadhani hii mechi itaisha kwa sareWabongo wengi ni ma haters, wakat Simba wanaongoza 2 bila Uzi ulikuwa page ya 62 eti Mtibwa wamerudisha ghafra imefika 102
Punguza sauti Mkuu. Wasije wengine wakalia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia 2 - 2.
Leo aakalia lijimwibaKila la heri kwa Mnyama Mkubwa Mwituni🦁🦁🦁