Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Shati hiloHuyu Ally Salim kafanyaje hapo?
Bocco hastahili hata kuwepo kwenye benchi la akiba!!
Kisa Alibahatisha Siku Ile Kuruka Upande Mmoja Mkamuoa Kipa.Huyu Ally Salim kafanyaje hapo?
Mtibwa wamemgonga 2 ndani ya dakika 20Ndio huyuhuyu ambae yanga wameshindwa kumfunga ndani ya dk180
Itakuwa Hali Ya Hewa Ya Morogoro Inafanana Na Ya Khartoum Joto Ni Kali Ndio Maana Wachezaji Hali Inawasumbua.Kambi ya Uturuki hii
Kombe gani mtalichukua? Huu msimu mtacheza play off hukoHili kombe tutalichukua katika mazingira magumu sana