uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Yeah! kipindi cha pili tumeanza vizuriMbona tunaongoza na kucheza soka safi sasa malalamiko yanatoka wapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah! kipindi cha pili tumeanza vizuriMbona tunaongoza na kucheza soka safi sasa malalamiko yanatoka wapi ?
Diara amamdaka mishale kwioooo 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
wakati LIgi inaendelea??Labda tumpe muda kocha...
Na ngao nilisema hivi hivi wapo wajinga wakabezaKombe gani mtalichukua? Huu msimu mtacheza play off huko
Goli halali kabisa refa kazinguaGoli halali hilo limekataliwa
kwani genta ndo kipimo?Simba mbovu sanaaa hata Gentamycin analijua hili.
Kocha ajitafakari sana.
Hili goli Lina tofauti Gani na alichofanya mayele vs ihefu round ya pili...HUYO Mwinchui ni CHIZI Hilo ni goli la baleke
organism=orgasm
Yaani kocha amtoe kipenzi chakeMiq angeingia nafasi ya Kibu sio Baleke.