FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

FT: Mtibwa Sugar 2-4 Simba l Ligi Kuu ya NBC l Uwanja wa Manungu, Morogoro l Agosti 17, 2023

Inaoneka pia kwamba Msemaji wa Simba alitukisha sana mbwembwe na tukaamini usajili huu tutakua kama Man City na sasa hatuoni tulichoaminishwa

Bado timu sio mbaya kivile
Tatizo kubwa ni hatuoni zile pattern za Simba
Yaani hata kama mnafungwa au ku draw lakini pira linatembea na pasi kama zote

Labda tumpe muda kocha atafute muunganiko mzuri
 
Hamna mchezaji muhimu Simba kama Mzamiru kwa sasa.Nikitizama sioni mbadala wake,Ngoma ni mzuri tomu inapokuwa na mpira na si kukaba.
 
Back
Top Bottom