EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
sio wivu ni ukwel mtupuAcha wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wivu ni ukwel mtupuAcha wivu
Pole! unateseka ukiwa wapi?Kushinda simba itashinda Ila simba hii bado sanaa...mtibwa inawatesa hivii
Kuna muda Simba nao hujidai hawapo Tanzania. Utasikia " the quality of the pitch was very challenging for us"
Vyura wa mashamba ya miwa wanapeleka salamu kwa vyura wa Jangwani [emoji196]Wapiiiii vyuraaaaaaaaaaa
Siku hizi hakuna sheria ya off sideWapiiiii vyuraaaaaaaaaaa
Guvu moyaWale wa off side mpoooooo
Macho yenu yana makengeza...
Uwanja wamewagia maji mengi makusudi kumbuka hapo ni shambani.Angalia kwa mbali kuna mashine inamwagilia miwa.Kuna kitu nimeki observe kwenye uwanja.
Naona wachezaji wanateleza sana
Kwani nani alikwambia nguvu hazihitajiki katika soka? Acheni kukariri vimisemoHata kama tutashinda ila ukweli utabakia pale pale simba inatumia zaidi nguvu kuliko maarifa kwenye kutafuta hadi kupata goal uwanjani
Ndio ni UONGOHuo ni Uongo
Bado mnadai penati sioNa sisi tungepewa penalty zetu mbili..tungetoka droo...penalty zingekua palepale
Hapana tunadai magoli ya offside.Bado mnadai penati sio
Hapo sasaIla zile penalty 2 walizonyimwa simba
hamjaona mmeona goli waliid tu