Kwa jinsi wanavyokimbizwa hapa, ilikuwa sahihi kusema walichoma sindanoTuwapike maana hawa ndugu zaona wale tulichapa juzi
Goli safi kabisa nje ya box.25' Simba 1-0 Mashujaa
Libasse 15'
VAR imeweka katiGoli la pili tena offside, daah.
Yes mkuu, VAR ya kivyetu vyetu. Goli halali lile.VAR imeweka kati
Goli kama hili aliwahi kufunga Messi.Goli la pili tena offside, daah.
Yes, magoli ya viwango vya kimataifa. Bado Dumbia tu anatakiwa ajifunze kwa wenzake kufunga. Sijui anakwama wapi.Goli kama hili aliwahi kufunga Messi.
Inawezekana kadungwa cc 120 😀😜😃😆Chilambo kachoma sindano, yupo kila sehemu
Duh nani huyoKuna mtu kala umemee