Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
HT
Sijui nani huko MashujaaDuh nani huyo
Duh watapigwa nyingi sanaSijui nani huko Mashujaa
Kabunda kachundaDuh nani huyo
😂😂😂😂Mashujaa wala msiogope..
Ninyi si wa kwanza, na hamtakuwa wa mwisho kukinywa hichi kikombe kizito cha Mnyama
Retired goatGoli kama hili aliwahi kufunga Messi.
Inapigwa utatoa-hutoi, ukikataa kutoa unabakwa kama YangaDuh watapigwa nyingi sana
Siku huyu akifunga, Dunia nzima lazima isimame.Yes, magoli ya viwango vya kimataifa. Bado Dumbia tu anatakiwa ajifunze kwa wenzake kufunga. Sijui anakwama wapi.
😂😂😂😂Inapigwa utatoa-hutoi, ukikataa kutoa unabakwa kama Yanga
Inatakiwa awafunge Yanga itapendeza sana.Siku huyu akifunga, Dunia nzima lazima isimame.
😂😂😂
Tatizo siyo Dumbia Mkuu,,, Kikubwa Simba SC waibuke na Ushindi 💪🏽💪🏽🦁🦁,,Yes, magoli ya viwango vya kimataifa. Bado Dumbia tu anatakiwa ajifunze kwa wenzake kufunga. Sijui anakwama wapi.
Inatakiwa awafunge Yanga itapendeza sana.
Duh kajichanganya huyooKabunda kachunda
Siku ile nilifika kigamboni kwa tabu mno nina watoto waili mmoja simba sc mwingine yanga sc mmoja alitamba sana kipindi cha kwanza kipindi cha pili kalia sana 😄😁😁Inapigwa utatoa-hutoi, ukikataa kutoa unabakwa kama Yanga
oya kama una kitambulisho cha nida nenda kwenye mgodi wa matongo unaweza kupata kaziSimba bingwa
Mambo ni Bam bam mkuu ni 3-0Tatizo siyo Dumbia Mkuu,,, Kikubwa Simba SC waibuke na Ushindi 💪🏽💪🏽🦁🦁,,