cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂Inatakiwa awafunge Yanga itapendeza sana.
😂😂😂Inatakiwa awafunge Yanga itapendeza sana.
Brand ya Team tu, hakuna mchezaji humo.Hivi aliemleta doumbia alimwona akicheza mpira kweli😁😁
🦁🦁🦁🦁🦁🦁Wame,kuwa kama Jeshi la Wokovu🤣Woyoooooooooooooo!!!!
Sisi kwetu ni shereheeeeeeee!!
Hiyo lini hiyo? Leoooooooooo!!
Kina nani? Sisi haoooooooooo!
🦁
⚽⚽⚽⚽⚽⚽
🔥🔥🔥
Noumaa sana Mahi, 🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🦁🦁Wame,kuwa kama Jeshi la Wokovu🤣
Huenda Doumbia ndio anazuia mvua ziku akifunga tu balaa linaanza, jumamosi ilianza alafu ikakata leo tena imeanza kidogo ikakata.Dumbia aliemleta Mungu anamuona ukweli tumepigwa lile ni takataka
Huyu jamaa hajawa kipa tu. Ila akiruhusiwa sometimes atakuwa anadaka kipa akitoka langoniKwani huyu Chilambo anacheza namba ngapi? Daah
😂😂😂😂Huyu jamaa hajawa kipa tu. Ila akiruhusiwa sometimes atakuwa anadaka kipa akitoka langoni
Zaburi 14:1 — “Mpumbavu amesema moyoni mwake, Hakuna Mungu...”Mtani umejipata hakika. Pira safi magoli ya kutosha