Angeingia Ismail Mgunda wangekula 7 hawaDoumbia anakuja ngoja tumuone
Nawaona wote wanataka kuingiaAngeingia Ismail Mgunda wangekula 7 hawa
Anasogea sana mpuuzi huyuHili Kasali nalo
Lile goli sio la nchi hii, inabidi yahesabike mawili badala ya moja.Duh, tumefungwa bonge ya goli.
5-1