StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
HajuiYes, magoli ya viwango vya kimataifa. Bado Dumbia tu anatakiwa ajifunze kwa wenzake kufunga. Sijui anakwama wapi.
1. Kwenda sambamba na moves wakati timu inashambulia
2. Hakai kwenye nafasi sahihi kwa wakati sahihi(anazurura-zurura popote tu)
Katika hali kama hii atafungaje magoli?.