FT: Na leo kuna SINDANO? Ligi Kuu: Simba SC 6 : 1 Mashujaa FC| Uwanja wa Uhuru| 13/10/2026

Timu ya Simba imeichakaza Mashujaa FC magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na hivyo kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.

Mchezo umemalizika.
Wameanza kununua mechi eeeeh? Kocha mwenyewe mapema tu anasema Simba wana aslimia 95 kushinda mechi
 
Timu ya Simba imeichakaza Mashujaa FC magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na hivyo kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.

Mchezo umemalizika.
kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.💖📌🔨
 
Hajui
1. Kwenda sambamba na moves wakati timu inashambulia
2. Hakai kwenye nafasi sahihi kwa wakati sahihi(anazurura-zurura popote tu)

Katika hali kama hii atafungaje magoli?.
Jana alipata nafasi akabutua nje.
 
Timu ya Simba imeichakaza Mashujaa FC magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na hivyo kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.

Mchezo umemalizika.
Kwa pira lile kwanini Komwe asichang

Nyie mnasema tu kwakuwa timu ni yenu ila na nyie mngepigiwa pira kama lile lazima mngesema tumedungwa sindano.

Hilo timu lenu linatisha. Duru la pili hatuleti timu uwanjani ili mcheze wenyewe. Tumechoka kudharirishwa eboo!
 
IMG-20261014-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom