StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
HajuiYes, magoli ya viwango vya kimataifa. Bado Dumbia tu anatakiwa ajifunze kwa wenzake kufunga. Sijui anakwama wapi.
Wameanza kununua mechi eeeeh? Kocha mwenyewe mapema tu anasema Simba wana aslimia 95 kushinda mechiTimu ya Simba imeichakaza Mashujaa FC magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na hivyo kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.
Mchezo umemalizika.
Pin pin camara alifia wapi?Yes, hapo hatuna kipa. Ana beki na bahati tu
kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.💖📌🔨Timu ya Simba imeichakaza Mashujaa FC magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na hivyo kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.
Mchezo umemalizika.
Aliyemleta anasema tumpe mudaDumbia aliemleta Mungu anamuona ukweli tumepigwa lile ni takataka
Mpumbavu anajiona anamjua Mungu kuliko viumbe hai wengineZaburi 14:1 — “Mpumbavu amesema moyoni mwake, Hakuna Mungu...”
Jana alipata nafasi akabutua nje.Hajui
1. Kwenda sambamba na moves wakati timu inashambulia
2. Hakai kwenye nafasi sahihi kwa wakati sahihi(anazurura-zurura popote tu)
Katika hali kama hii atafungaje magoli?.
Unawashwaa? Nikuitie Mpanzu akuweke??Tulia we bibi. Unapigaje kelele kama singo mother???
😂😂😂Doumbia labda acheze rede
anatukaba:
Kwa pira lile kwanini Komwe asichangTimu ya Simba imeichakaza Mashujaa FC magoli 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara na hivyo kuendelea kubaki kileleni kwa kufikisha pointi 24 katika michezo 8, ikifuatiwa na Yanga yenye alama 18 katika michezo saba.
Mchezo umemalizika.
Mnacheza lini tena mtaniTangia mtufunge mnajifanya mko active kwenye mechi zenu wenyewe. Lol.
Jumamosi Mtani mechi ya CCL.Mnacheza lini tena mtani
Mbona kinyongeee😆😃😜Tangia mtufunge mnajifanya mko active kwenye mechi zenu wenyewe. Lol.
Hebu changamka kidogo, usitie-tie huruma, hicho kipigo kilishapitaJumamosi Mtani mechi ya CCL.
Naachaje kuwa mnyonge Mtani.Mbona kinyongeee😆😃😜
Hahahaa. Hebu hukoo. 😃Hebu changamka kidogo, usitie-tie huruma, hicho kipigo kilishapita