Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
Project inaelekea mwishoHii timu Ina matatizo Gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Project inaelekea mwishoHii timu Ina matatizo Gani?
Leo kujitutumua kidogo afunge.Aziz Ki vipi..? Bado ni mlenda.?
au Hajaachana na Mobeto ?
SindanoHii timu Ina matatizo Gani?
Mtashinda usijal bro 😊Sawa 😃😃😃
WananchiiiiiiiiiTimu tunayo na tunatamba nayo. Huwa wanakimbilia kuanzisha madomokaya nyinyi wenyewe. Bora mmeichoka, mmetuachia timu yetu. Tutaanzisha lisaa limoja, kabla ya mechi kuanza au dakika chache kuanza. Huu ndiyo utaratibu.
#yangabingwa
#since1935
🟢🟡🟢🟡
Kipindi cha pili wote mtakimbia huu uzi, Namungo anatema bungo. Mizimu imeniambia Kuna goli nne kwa sufuriBado dakika ngapi
🐸🐸Boli lishawashinda.Yanga ipo unga sana
Ngoja tuone kipindi cha pili hapa uwanjani nimenyeshewa na mvua afu tutoe sare😀Mtashinda usijal bro 😊
Mkuu nakusalimia pia nakutakia kushindwa kwema kwenye hii mechi na namungo.Hahaha watamtembeza kwa miguu
Mtag Laban og 🐸😂😂Kipindi cha pili wote mtakimbia huu uzi, Namungo anatema bungo. Mizimu imeniambia Kuna goli nne kwa sufuri
Yanga inafungwa najuaMkuu nakusalimia pia nakutakia kushindwa kwema kwenye hii mechi na namungo.
vibertz na Tate Mkuu hawa ndio wana majibu maana waliunga mkono Gamondi kufukuzwa.Anayeelewa huyu kocha wa Yanga anafundisha nini naomba anieleweshe. Huyu mzee nahisi kipindi cha pili ndio anaenda kuharibu kabisa.
FT NAMUNGO2-0Half Time 0-0
Full Time Namungo 1-0 Yanga
Safi sanaaYanga inafungwa najua
Hakika mtashinda mkuu nimekurupuka usingizi nikaona hivyo🤗Ngoja tuone kipindi cha pili hapa uwanjani nimenyeshewa na mvua afu tutoe sare😀