Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati fulani muwe mnajitahidi kuficha mapungufu yenu ya kibinadamu.Simple logic virce versa.. kwamba huwezi kumlisha mtu halafu akuletee jeuri. Yaani boss wako umfedheheshe 😂utakula wapi!??
Uzuri Pambajiji hipo chini ya Namungo na ndiyo iliwapa points 3 kwa mbinde watu.Huu ndio msimamo wa ligi tangu jana
Namungo ambayo imeleta matumaini kwa wadau ndio hiyo hapo nyanda za chini kusini ikiwa na alama 9.
Aiseee kweli faraja inatafutwa kwa namna nyingi sana.
View attachment 3166000
Watu mnawivu sana na wanaume wenzenu.Azizi K hana nguvu tena kweli Mpira unahitaji nidhamu Sana
Kutoa Sana sperm lazima nguvu ziishe sema black people they know nothing about this .
Leo mashuti yake hata Mimi nayadaka tena Kwa miguu
Unatoka huko west Africa na unaenda ulaya then unarudi Africa na kuwa manipulated with these single mothers dumber
Wewe hapo. 🤣Pisi ipi hiyo bro?
Tulia kijana mi sio pisi bro 😹Wewe hapo. 🤣
Achana naye huyo, halafu hajajua hata Mikia wanadhaminiwa na GSMKwahiyo mdhamini ndiye anayeendeshea timu!?
Unataka kusema mechi zote Namungo alizofungwa na Yanga ni kuwa Namungo ilikua inadhaminiwa na GSM!??
Aiseeee doooh!
Tabora kakufanya ungekuwa mnyonge sanaMtani nakusalimia.
Hahahaaa. Lol. 💪Tabora kakufanya ungekuwa mnyonge sana
Pisi zee 🤣Tulia kijana mi sio pisi bro 😹
Pisi zee 🤣
fala kweli 🤣 🤣 🤣